Psalms 89:36-37

36 akwamba uzao wake utaendelea milele,
na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;
37 bkitaimarishwa milele kama mwezi,
shahidi mwaminifu angani.”
Copyright information for SwhNEN